Fungua Akaunti ya Salary inayoweza kukupa Mkopo wa Wafanyakazi
Simamia mshahara wako kirahisi. Hii ni Akaunti ya akiba inayorahisisha malipo ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali, kampuni binafsi na taasisi mbalimbali. Inakuwezesha kusimamia mshahara wako, kulipa bili na kuweka akiba.
Sifa za Akaunti
Faida za Akaunti
Urahisi wa kuweka akiba
Akaunti inafunguliwa kwa TSH au USD
Kiasi cha kufungulia akaunti ni TSH 20,000 au kiwango kinacholingana na hicho kwa USD
Unapata kadi ya benki papo hapo
Unaweza kupata mikopo kwa ajili ya wafanyakazi; “Salary Advance”/ “Personal loan”
Riba inalipwa kulingana na akiba uliyoweka
Uwezo wa kupata huduma wakati wote kupitia ATMs, SimBanking, Internet Banking na CRDB Wakala
Inarahisisha ulipaji wa mshahara kwa wakati
Unapata huduma ya KAVA Assurance Bure (Mteja binafsi na/au mwenzi wake): Bima ya maisha TSH Milioni 2 na Bima ya ulemavu wa kudumu (kwa mwenye akaunti)
Vigezo na Mahitaji
01
02
03
04
Uwe mfanyakazi uliyeajiriwa na taasisi iliyosajiliwa na kutambulika mwenye umri kuanzia miaka 18
Uwe na picha 1 aina ya Pasipoti (Kwa wateja wasio na Namba au kitambulisho cha NIDA)
Uwe na kitambulisho halali kimoja (cha Taifa, cha mpiga kura, Leseni ya Dereva, au Kitambulisho za Mzanzibari Mkazi)
Uwe na kitambulisho cha kazi na barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
Maswali ya Mara kwa Mara
Mteja wa salary akaunti anaweza kufungua akaunti ya Pamoja?
Hapana, HESABU YA MSHAHARA haiwezi kufunguliwa kwa pamoja
Mteja wa salary akaunti anaweza kupata kitabu cha hundi?
Hapana, mteja wa HESABU YA MSHAHARA hastahiki kituo cha vitabu vya hundi
Mteja wa salary akaunti anaweza kupata mikopo ya Benki ya CRDB?
Ndio, mteja wa anastahiki bidhaa ya mkopo ya CRDB kama kwa dhamana ya mshahara, mkopo wa wafanyikazi waliolipwa, mkopo wa kibinafsi, au rehani kutaja chache.
Mteja wa salary akaunti anaweza kuweka standing order
Ndio, mteja wa salary akaunti anaweza kuweka malipo ya kujirudia kwenye akaunti yake ya CRDB.